Recent content by flourishing

  1. F

    JamiiForums Naomba kujuzwa ndugu zangu

    Mishahara ya manurse wenye degree,wenye diploma za clinical officer, na walimu wenye degree ipoje, ni kiasi gani? Asante
  2. F

    JamiiForums ushauri wako ni muhimu

    naomba kujuzwa kuhusu kozi ya molecular biology and biotechnology ,in terms of ajira na maslahi yake pia
  3. F

    JamiiForums msaada wa mawazo wadau wa elimu

    karibuni wadau mawazo yenu yatanisaidia jamani
  4. F

    JamiiForums msaada wa mawazo wadau wa elimu

    naomba kujuzwa zaidi kuhusu molecular biology and biotechnology ,utafanya kazi gani na mshahara wake ukoje je ina soko
  5. F

    JamiiForums msaada wa mawazo wadau wa elimu

    mkuu ktk hizo me nina idea na lab sciences sababu waweza fanya kaz maabara but i wanted to know more kuhusu izo nyingine
  6. F

    JamiiForums msaada wa mawazo wadau wa elimu

    kozi za lab sciences, veterinary md na molecular biology and biotechnology je ipi ina wigo mpana ktk ajira nna point 3.5
  7. F

    JamiiForums Naomba kufahamishwa kuhusu Agriculture Economics And Agri Business

    je kwa sasa mwenye division 3 anaweza kuipata?
  8. F

    JamiiForums Msaada:Utaratibu na Namna ya kutuma maombi ya mkopo HESLB.

    unatakiwa ujaze kama subforms 5 utaona mkono wako wa kushoto utaona vipengele hivyo jaza kila kmoja then uprint ..
  9. F

    JamiiForums Msaada:Utaratibu na Namna ya kutuma maombi ya mkopo HESLB.

    awe tayari ameshaaply tcu ,then uende kwenye website heslb.com then click OLAS ,ufate maelekezo .
Back
Top Bottom