Naomba kufahamishwa kuhusu Agriculture Economics And Agri Business

Habari Zenu Wapendwa...

Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Coz Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur Au Vp,,!
Naomba Msaada Wenu Jaman

mkuu hiyo course ni nzuri for the seek of self employment inatakiwa ujipange kiakili Kuwa unatakiwa kujiajiri lather than kutengemea to employed katika mising hiyo utaondoa kama unataka ajira kasome education haraka sana!!!!!mkuu "aim of education is provide knowledge to men and women that can help them to discovery new thing""""
 
our question is agribusiness and agricultural economic has any favor for our status we have?

mkuu usidandie treni kwa mbele. Hapa nilikuwa namwelekeza Naamini alaf akawa anabisha kitu ambacho kipo ndo nikamwambia ameshinda.
 
aaaahhh duuuhh ww kiboko ulivyomjibu SUPERUSER, mkuu unatisha

ndo hivyo mkuu kuna watu wanazingua sasa jitu linasema eti anasikia wakati sisi wandewa wa hapa ndo tunaona kuna vyombo hadi rahaaaaa....usisikie mana kama kusikia watu tunasikia vingi na dawa yao ni kuwapa kavu tu.
 
inategeana ni div 3 ya ngapi na matokeo kwa ujumla ya taifa..kama mabay basi rahs kidogo.nje ya hapo kuna cut throat competition

aiseee mkuu hiyo division tatu kimtindo ngumu fulani labda uende Bcom pale UDSM mfano mwaka juzi wa mwisho walichukuliwa watu wa two with eleven points.....aiseeee inaushindani sana labda uende bcom mliman au Udom.
 
heshima kwako mkuu unaongea kilichopo duniani mm nasoma sua wala cjawahi kuona ugum wa sua achane na hao vilaza aje sua asome

ahsante sana unaesoma SUA wa kwanza ambae hajawai ona ugumu wa SUA...na hongera sana kwa kuwa ww si kilaza
 
kijana uje ukutane na babu msuya AEA 110, Mtata gabagambi , kaka etu Mr Massimba , Dr. ngaya for MTH 102., mahamoud mshika watu AEA 111, MALAKI Complicator, dr lazaro mrs compendium AEA 103, Maths for economics DR,. rose AEA 106 utaipenda tuu...........kijana kazana kama una division one or two kali unaweza ukaingia but difficult,,...ila kama una one put it first yu will win.......kama wewe ni PCM ,PGM, PCB, CBG and the like kimsingi utahaika especially coz za uchumi so liangalie hilo/




nawasilisha
 
kijana uje ukutane na babu msuya AEA 117, Mtata gabagambi , kaka etu Mr Massimba , Dr. ngaya for MTH 102., mahamoud mshika watu AEA 111, MALAKI Complicator AEA 110, dr lazaro mrs compendium AEA 103, Maths for economics DR,. rose AEA 106 utaipenda tuu...........kijana kazana kama una division one or two kali unaweza ukaingia but difficult,,...ila kama una one put it first yu will win.......kama wewe ni PCM ,PGM, PCB, CBG and the like kimsingi utahaika especially coz za uchumi so liangalie hilo/




nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom