Recent content by Flora30

  1. F

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Xavi akiondoa uspanish atawin unamuacha kesi unamuweka Gavi, balde unamuweka Alonso, Raphina pia simuelewi kabisa
  2. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Lindi kwenda mwanza
  3. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Nipo katika hatua za awali lkn kama akingua nitamzingua
  4. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Acha dharau mkuuu
  5. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Kibali kip nimekiona lakini mmmmmmhhh ngoja niache wajikaaange wenyewe
  6. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Hivi kwanini halmashauri wamekuwa hawatiii maagizo ya tamisemi!? Wajuzi wenye ufahamu tuanzie hapo
  7. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Utapata tuuu kijana Mungu atakusaidia
  8. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    WaJe tuuuuuuuu
  9. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Nik Kweli kabisa
  10. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Ushauri ni mzuri ila kuna vitu ambavyo naviona katika serikali kama vile kila m2 anafanya kazi kivyake hawako organised
  11. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu juu ya Katibu Mkuu wa TAMISEMI

    Kibali tamisemi wametoa ni hame ila halmashauri wamekataaa
  12. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Back
Top Bottom