Recent content by Flora Saasita

  1. F

    Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

    Oooh! Mungu wangu, anyway pole kwa kua haujaikubali hali ya maisha ya kwenu ndo maana uko hapa unalalamika, mimi nilipata mkopo lakini jina lilienda chuo tofauti na nilichopangiwa na TCU(Bsc in Nursing KCMC) na hata wakati mwingine mambo ni magumu hadi nakosa pesa ya kutoa hard copy, lakini...
  2. F

    Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

    Oooh! Mungu wangu, anyway pole kwa kua haujaikubali hali ya maisha ya kwenu ndo maana uko hapa unalalamika, mimi nilipata mkopo lakini jina lilienda chuo tofauti na nilichopangiwa na TCU na hata wakati mwingine mambo ni magumu hadi nakosa pesa ya kutoa hard copy, lakini najipa moyo japo ni...
  3. F

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Salsa iv everythng z okay nakesho masomo kama kawa
  4. F

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Thanks God nimepata mkopo, but naweza enda chuo na bila tuition fee maana maisha yamebana
  5. F

    Msaada wa ufafanuzi tafadhali

    Niliiweka baada ya kutemwa na TCU kwenye round zote nne na kwa bahati mbaya wakawa wamenipanga hiyo
  6. F

    Msaada wa ufafanuzi tafadhali

    Jamani Leo kuna mtu amenikatisha tamaa kuhusu kozi ya Geomatics ati ananiambia nijiandae kuuza karanga kama nimeamua kuisomea hii fani yaani ukweli nimekosa hata mwelekeo naombeni ushauri wenye ukweli wa dhati kutoka moyoni
  7. F

    Msaada kwa mliokwisha jisajili ardhi university ya Dar es salaam

    Mkopo bado sijapata ila nimepangiwa kozi ya geomatics na ni priority
  8. F

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Nahitaji kuwa na kiasi gani cha fedha ili niweze kufanikisha Usajili? maana mi mpaka leo sijaja kufanya usajili
  9. F

    Msaada kwa mliokwisha jisajili ardhi university ya Dar es salaam

    Nashukuru sana kwa ushauri Lakini Nina kama Tsh 700,000/= naweza kwenda na hizi wakati wazazi wananitafutia nyingine
  10. F

    Msaada kwa mliokwisha jisajili ardhi university ya Dar es salaam

    Naomba kufahamu deadline ya usajili kwa first year na Gharama/ kiasi cha fedha kinachoweza kutosha kwa ajili ya usajili na malipo yote ya awali.
  11. F

    HESLB yasisitiza watu wote watapata mikopo, Lot ya nne inakuja

    Na mimi nimepata 5th selection Bsc in Geomatics na bado sijapata mkopo na hata Chuoni bado sijafika
  12. F

    Kuna uwezekano wa HESLB kutoa lot ya nne au ndo mwisho?

    Nimechaguliwa Ardhi university kozi ya Geomatics
  13. F

    Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    Na mimi nimekosa mkopo japo kozi ni ya science na ni priority
Back
Top Bottom