Recent content by Flora Mtimba

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Chanzo cha kufanya maamuzi magumu hivyo ilikuwa ni nini? Tujuze basi Mkuu!!!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Kwani amezushiwa nini?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli inawezekana mkutano wa Jangwani kutumia 700,000,000miln

    Wewe ndiyo mburula maana hata hesabu hujui!!! Si ajabu ndiyo nyie mnaopata F tu kwenye Mathematics. Kama alilenga 700milioni angeandika 700milioni na siyo 700,000,000milioni
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli inawezekana mkutano wa Jangwani kutumia 700,000,000miln

    Chama kipya ni 700,000,000milioni au 700milioni? maana hizo ni figure mbili zenye thamani tofauti kabisa!!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli inawezekana mkutano wa Jangwani kutumia 700,000,000miln

    Mleta uzi kasema shilingi 700,000,000miln na wewe hesabu yako ni 700miln. Sasa idadi yote ya pesa ni 700,000,000milioni au 700milioni? Maana hizo ni figure 2 zenye thamani tofauti kabisa!!!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Neno 'siri' lilivyotumika vibaya kufungia gazeti la mwananchi

    Mfuko wa jamii kwa Local Governemnt hauitwi LGPF bali unaitwa LAPF yaani Local Authorities Pension Fund
  7. F

    JamiiForums Tanzania KINANA: Sina nywele kichwani kwa sababu ya kufikiria matatizo ya Watanzania

    Ndiyo maana wako kimyaaaaaaaaaaaa!!! Ni aibu!!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

    Sheria ngapi zilishaainishwa na Tume ya Nyalali zifanyiwe marekebisho lakini serikali imekaa kimya????
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

    Sijategemea maneno haya toka kwako, maana mara nyingi unapinga kila kitu hasa kinachogusa CCM negatively
  10. F

    JamiiForums Tanzania Neno 'siri' lilivyotumika vibaya kufungia gazeti la mwananchi

    Naomba unieleweshe, LGPF ni mfuko gani? Kwa kweli sijawahi kuusikia.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Hii serikali ni ya Kidikteta, nipo tayari kwa lolote

    Hivi jamani ni kweli Kibanda anawafahamu waliomfanyia unyama ule?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Hii serikali ni ya Kidikteta, nipo tayari kwa lolote

    Kuli! Umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali sana
  13. F

    JamiiForums Tanzania Neno 'siri' lilivyotumika vibaya kufungia gazeti la mwananchi

    Duh!! Mswalie Mtume we dada!!!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Hii serikali ni ya Kidikteta, nipo tayari kwa lolote

    Huu ni udikteta ndiyo maana Sheria hiyo inapigiwa kelele sana. Si ajabu nayo imo kati ya zile sheria kandamizi zilizoaininshwa na Tume ya Jaji (marehemu) Francis Nyalali ambazo zinatakiwa kufanyiwa marekebisho
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

    Mbeya mjini na Iringa mjini, Mwanza ni Kaskazini?
Back
Top Bottom