Alipoingia madarakani alilizungumzia sana na kupiga marufuku uingizaji sukari toka nje ya nchi. Bei elekezi iliwekwa 1700/- lakini iligomea 2600 mpk 3000/-
Uzoefu unaonyesha hata sasa bei elekezi zitashindikana na sukari either itauzwa kwa bei iliyoko madukani au itaadimika sana
Nakubaliana na ndugu mtoa hoja kwa 100%.
Matatizo ya mtanzania yanatokana na mtanzania mwenyewe. Hali ya kisiasa yuliyokuwa nayo 100% ni unafiki na uoga usiomithilika.
Tunahitaji toba.
Wamemshangilia kwa nguvu wapi?? Hakuna cha kushangiliwa kwa nguvu wala nini.
Ilivyotangazwa rais wa Tanzania anaingia uwanjani watu walishangilia kwa namna ya kuitikia tangazo tu la MC. Ndio maana alipopunga mkono, hakuna shamra yoyote iliyoendelea. Kuonyesha the public did not identify itself...
Hasara kweli! Nchi ya wauza maneno. Yaani kila siku ni maneno maneno maneno. Mbaya zaidi hayana uhusiano wowote. Leo kasema hivi kesho kasema alimradi ni mikurupuko tu. Lini watu watakaa mezani kutengeneza ramani ya maendeleo ya nchi?
Ifike mahali bwana mkubwaa aache kulia kwa vitu alivyoshiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.