Recent content by fleetwood

  1. F

    JamiiForums Tanzania Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

    Aaaaah nna mark x ya cc 3000... Nilishaweka gps kuona inafika ngapi sanbabu dashboard in a 180... Mzee ... babat arusha ukitoka mbuyu wa mjerumani... Kitu ilisoma 260 na inaenda... Kaka ukikutana na huu mziki utatafuta had kesho
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wataalamu Mtusaidie Namna ya Kushusha Gharama za Facebooks CPI For Mobile Install

    Please Do share... Utakua umetusaidia sana wadau
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wataalamu Mtusaidie Namna ya Kushusha Gharama za Facebooks CPI For Mobile Install

    Salama wakubwa Mi ni mdau wa Apps, nimefanikiwa jitahidi develop app inaitwa video 4 me iko playstore tayar inadeal na videos. Sasa kazi kubwa ilikua ni kuipromote ili ipate installs. So nikaona njia rahis nitumie Sponsored ads za facebook kutumia app install... CPI... Mwanzon niliweka...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wapi anapatikana fundi wa Xbox?

    0659184116... Mpigie huyo anaitwa mr. Xbox... Yuko kigamboni.... Ni fundi mzur hatara sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo ekari 3.77 linauzwa ndani ya jiji la Dodoma, liko barabarani

    Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana...
Back
Top Bottom