Recent content by Flecha

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    Hahahahahaaaaa, hii ni Afrika, Kiswahili ni Lugha yetu ya Taifa, ni moja kati ya lugha zinazotambuliwa Afrika. Huwa najivunia nikiona Mtanzania anazungumza Kiswahili kimataifa. Ila rais wetu mara chache sana hufanya hivyo hata kama inawezekana. Tumuulize huyo gamba, Kilichomsibu ni nini ndugu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta male friend

    Umenipata nichek pse, felimin2013@gmail.com
  3. F

    JamiiForums Tanzania Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

    Napenda kuwapongeza, kwa yote mliyoeleza, naona kama mnacheza, sijui kama watasikiliza, maana ni meng yalooza, lakin wanajipongeza, nazid kujiuliza, nani atuliwaza?, je wa kaki wanaweza? Ila Magamba yashaoza, na iman yetu walishapoteza...
Back
Top Bottom