Recent content by flavian venture

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu Nissan Terrano

    natumia hiyo gari. ukweli ni gari nzuri sana kwa upande wangu mm ni kuwa changamoto zake ni kuhusu mfuko wako tu. ukiitunza vizuri hutojutia hiyo gari but ukishindwa kuihudumia utaiona gari ambayo siyo nzuri ila ukweli ni mmoja tu nissan spea zao ziko juu. ila kama unamiliki nissan...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Nazipenda gari za Nissan kutokana na kazi zangu za SITE. ukweli nissan wana gari nzuri sana yaani zinavumilia mikiki sana maporini. first nilikuwa na X-trial but now NINA TERRANO II yani raha tu aiseee now nataka ya kukatia misere "Nissan Skyline" 2021 january naikamata...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nishaurini kuhusu Nissan Pathfinder

    Nissan terrano ni gari nzuri sana lakini ikiharibika dah kichwa kinauma! Tangu ninunue hii gari sijawahi jutia kuhusu mafuta but kichwa kinawaka moto pale ikiharibika😅😅😅😅 kugusa tu spare tu laki 5 kawaida. Na kuzipata taabu sana nakumbuka kuna kipindi nilizunguka kariakoo mpaka nilichoka...
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kumsahau mpenzi uliyempenda kwa dhati na sasa amebadilika?

    Hahahaha... Nimefurahi sana
Back
Top Bottom