Recent content by Flash-Q

  1. F

    Intern Information Technology

    Bakhshishi ndo nin mkuu??
  2. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Shukranii ngoj nijaribu kufika kwenyu izo company......maisha mkuu nimeanda company kazaa kila nikifika wananambia hawana nafasi wengine acha namba za simu ndomana nakuja na huku kujaribuu ni katikaa vita ya kuhangaikaa kupata ujira maana nataka nipate hata intern ini boost kweny work experience
  3. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Sana sana najifua kweny industry ya programming ingawa hata networking na areas nyingine nipo nipo maana nikiwa chuoni tunafundishwa mamb mengi sana kweny IT
  4. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Daah aisee watuu pia tuna uelewa tofauti na kutafsiri vitu tofautiii sasa kama hapoo nimeletaa ubishii gaani comment ya ndugu yangu nimeielea na nimemwambia naelewa umuhimu wa fufanya project kweny kupata kazi kweny hii industry na nikamwambia kua hata sasa nipo nafanya project zangu lakin...
  5. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Nafahamu umuhimu wa project kweny field ya programming ili upate kazi ndomana nipo saiv naendelea na projects zangu lakin mdaa huo huo nahangaika kuomba intern kama ivi sababu siwezii kaa subiri project ziishe ndo niaze omba kaziii lazima nitoke kutafutaa
  6. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Sio kila intern lazima uwe na project ndo upate wapo wanofanya intern na hawakua na project yoyote tayari ndomana nimekuja hapaa sababu jamii ilio na watu wengi kuna mtu pengine akanishika mkono.....na kwa sasa nimeaza fanya project kubwaa angalauu
  7. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Sijafanya project yoyote kubwaa mara nyingi ni izi ndogo ndogo wakati najifunza pia sio intern ya programming kweny IT kun areas nyingi networking, administration na maeneo mengine ndomana nikaleta ili andiko ili youote mwenye nafasi kwa sehemu yake anaweza kunipa io nafasi pia mi nimehitumu...
  8. F

    Mliopo kwenye sector ya Information Technology

    Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana mfahamu mtu anaeweza nisaidia kwenye field ya ICT nimejikita sana kweny programming katika...
  9. F

    Intern Information Technology

    Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana mfahamu mtu anaeweza nisaidia kwenye field ya ICT nimejikita sana kweny programming. Katika...
Back
Top Bottom