Recent content by flagship

  1. flagship

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

    Ndio target but wengi hawajui.
  2. flagship

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Asante sana kwa ufafanuzi.
  3. flagship

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Membemtoto wa wazee wa pwani(Lindi) na Kikwete mtoto wa wazee wa pwani(Bagamoyo).Wazee wangu wa mitaa hiyo hawajawahi kukosa shabaha zao.
  4. flagship

    JamiiForums Tanzania Ndio maana Mwalimu Nyerere aling'oa reli iendayo Lindi na Mtwara, hawasomeki..

    Ndio maana Li Benard haliogopi mtu kumbeeeeee!Halafu naye alijichanganyaje mpaka kuingia ndani kwa kina Benard kifua mbele?Au alipikwa akavutika?
  5. flagship

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Wahenga walisema'Damu ya mtu haipotei bure'
  6. flagship

    JamiiForums Tanzania ‪CHADEMA: Kamati Kuu ya Chama ilirekebisha Ratiba ya Uchaguzi, utakamilika mwezi Disemba 2019 kwa ngazi ya Taifa‬

    NADHANI ITAKUWA VIZURI KAMA MUTUNGI AKIUGUA GHAFLA NA ASIUONE UCHAGUZI.NI HAYO TU!Salam zao.
  7. flagship

    JamiiForums Tanzania Butiku: Tanzania sio mali ya vyama vya siasa, tufuate katiba na sheria

    Muoga,mnafiki mwizi,mzururaji na mpenda hela.Muoga N.a..pe,mnafiki Ma..ka...mba,mzururaji p.ole...pole na mpenda hela ni Bashite.
  8. flagship

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

    Wivu wa kipumbavu tu!Hakutaka sifa ziende kwa JK wa Baga.
  9. flagship

    JamiiForums Tanzania Makonda aamua kutoboa mtumbwi wazame wote

    Yaani hiki ni kiazi kitamu.
  10. flagship

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

    Eti ndio kitengo cha propaganda kimeundwa na wakolomije!Ahaaahaaa....Kweli CCM ni kama kiazi kitamu ukitaka kukitafuna mpaka ukikune kama kipele.Pole sana maana kura yangu haitapoteza uelekeo labda uchaguzi usiwepo.
  11. flagship

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine kwenye picha hii bado wanataka tuwape uongozi!

    Kuna ukweli hapa.
  12. flagship

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson akiwa na jeneza anaizika CHADEMA Mbeya Mjini

    Pumabvu sana huyu....
  13. flagship

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu; Mmekubali kushiriki karamu haramu ya damu ya Lissu?

    MTARURU ATAANDAMWA NA JINAMIZI MPAKA SIKU ATAKAPO............
Back
Top Bottom