Recent content by FKM

  1. FKM

    Rose Kamili akamatwa na Polisi kwa kugawa rushwa Kalenga!

    ..................kwani Chadema ni malaika!!!!!!!!!?????????????????
  2. FKM

    Tathmini: Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani uliofanyika Februari 9, 2014

    Yericko Nyerere, umeeleza historia ndefu iliyojaa sababu lukuki za kujitetea jambo ambalo nilitarajia maana imekuwa ni mila na desturi ya kutokubali kushindwa. hebu tujiulize swali dogo sana, Hivi huko Kilimanjaro, Arusha na Njombe ilikoshinda chadema daftari la wapiga kura liliboreshwa? Ifike...
  3. FKM

    Rais wa Uruguay José Mujica, ndiye Rais anayeishi maisha duni kuliko wote duniani

    Unapojadili watu maarufu (Public figure) kama Rais wa nchi, ni busara kujadili/ kutoa taarifa za uwajibikaji wake kwa nafasi aliyonayo, na si kufocus maisha binafsi (Personal life) peke yake kwani huweza kuficha (mask) mapungufu au mazuri waliyonayo katika nafasi walizonazo. Kwa mfano Nimegoogle...
  4. FKM

    Jaji Warioba: Nani anayeijua zaidi Migogoro ya Muungano huu Kati ya Majaji na Wanasiasa?

    Fikirisha akili yako kwanza kabla hujachangia maada, usikurupuke. Jaji walioba anamanisha matatizo ya kikatiba na sheria ambayo ndo msingi wa matatizo yote hata hayo madogomadogo ya kijamii unayoyafahamu wewe. Ni kweli Majaji ndo watu wa level ya juu katika taaluma ya sheria duniani kuliko watu...
  5. FKM

    Yaliyojiri: Mkutano wa Joseph Mbilinyi maeneo ya TEKU - Jan 17, 2014

    Hizi taarifa zingekuwa zinatoka upande wa pili kwenye kijani na njano, swali la kwanza lingekuwa WEKA PICHA, Great Thinker tuache kuwa bias, tujitofautishe na magazeti ya Uhuru & Tanzania Daima. Taarifa kama hii bila picha haina tofauti na udaku
  6. FKM

    Maadui wa umma.

    Wenye chama chao watakuja humu kusema unamtukana na kumdharirisha mwenyekiti wao, Jiandae kwa vyoto (Hoja na matusi)
  7. FKM

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Naona wapiga Lamri wanaongezeka kwa ari mpya zaidi, kasi mpya zaidi na nguvu mpya zaidi. Viva wapiga LAMRI
  8. FKM

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Soma gazeti la Mwananchi la leo, Najua utaluka vihunzi kwasababu habari haijaandikwa na gazeti la Mtanzamia Daima
  9. FKM

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Bwana Ben Sanane, Chama kinapopata wanachama wasomi (Prof. & PhD) ni wazi kuwa si tu kimeongeza idadi ya wanachama, bali kimeongeza wanachama wanaokipa chama hadhi ya kitaifa na kimataifa, kinapata wanachama wanaoweza kukiwakilisha katika majukwaa ya kimataifa, pamoja na uwezo mkubwa wa...
  10. FKM

    Zitto mjadala - Nipashe yakusanya maoni mbalimbali nchini - Soma

    Hizo zilipendwa.................... naona umekaa ki-opportunistic zaidi, kwa mtazamo wako watu kama Tundu Lissu, Godbless Lema, Mch. Msigwa, Joseph Mbilinyi, John Mnyika et al., wamefanya kazi kubwa zaidi kuliko wengine hapo chadema !!!!!!!!!!!???????????????
  11. FKM

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Yeriko Nyerere Update Please, don't be bias kamanda.................. Au ndo ushaingia mtini
  12. FKM

    CUF haihusiki na njama zozote dhidi ya CHADEMA kwenye sakata la ZZK

    si kila tuhuma inaulazima ya kuijib, tuhuma kama hii ya ufinyu wa kufikiri na kuonesha dalili ya mfamaji........... inahitaji moyo na kujishusha kwa hali ya juu kuijibu. lakini kama utakuwa umeisoma kwa kuielewa namimi utakubaliana na mimi kuwa majibu ya CUF ni dongo kwa CDM. Ukishakuwa na...
  13. FKM

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Akanushe ili iweje wakati kishakubali kuwa Baniani mbaya kiatu chake dawa..........!!!!!! “Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na...
  14. FKM

    Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    Ukiusoma waraka husika hakuna ushahidi wa moja kwa moja usiokuwa na shaka unaomuhusisha zzk, kuwepo kwa watu wengine kukiri kuhusika kuuandaa na kukanusha kuwa zzk hausiki na hata haujui ni kikwazo kisheria katika kuthibitisha kuhusika kwa bwana zzk, kutajwa peke yake ni ushahidi dhaifu...
  15. FKM

    Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    "Mapenzi juu ya jambo fulani yanapozidi Busara, hupunguza uwezo wa kufikiri............. Angekuwa ni Tundu Lisu amekoti vipengele hivihivi vya katiba ya CDM, ungesifu mpaka................ Jamani haya mabo ni ya kisheria zaidi, tuwachie watalammu wa hii fani. Akina Lisu pamoja na jopo lake nao...
Back
Top Bottom