Recent content by fize

  1. F

    JamiiForums Tanzania Haji manara hawezi kumwacha shafii dauda salama.

    Kuna bifu lingine nje na mpira mana wote hawa wanasimba sijui shida nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

    Hata simba tungecheza taifa mechi 9 tusingepoteza hata moja ona Tangu tumetoka mkoani tumevuna points ngpi?shida ya hizi timu zetu ni nje ya Dar mkuu sasa ww kwahyo style yko sijui HIFADHI MANENO YANGU
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

    Mimi mwana simba ila yanga wapo wachezaji simba wanaweza kupata nafasi ila sizani kama itakuwa ya moja kwa moja wa Kwanza ni kipa Kakolanya,Gadiel michael,Toto kiungo mahiri na Yondani hao kwa nafasi zao wanaweza pata dakika za kucheza ila bado wanakazi ya ziada.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

    Hawa niwale wanafunzi wanaandika sana ila hakuna hoja zaidi ya zogo
Back
Top Bottom