Recent content by Fisi wa Dar

  1. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Waliojenga Karakana ya UDART Jangwani hivi kweli walijipanga?

    Masika sasa. Ni balaa tena
  2. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola ampa IGP muda wa hadi saa 12 jioni ya leo kutoa maelezo alipo Mbwa wa Polisi Kikosi cha Bandari

    Ukiona mkuu anatajwa sana ujue kuna uzembe mwingi, hii itamsaidia IGP kuwa macho na wasaidizi wake. Kumbuka Mwigulu alizembea sana, watu waliendelea kuhujumu Jeshi LA Polisi
  3. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Waliojenga Karakana ya UDART Jangwani hivi kweli walijipanga?

    Nimejiuliza sana, JANGWANI sio kipande cha ardhi kutoka nje ya nchi kwamba hatukijui. Tangu zamani pale panajaa maji na bado watu wanajenga karakana ya Mabasi ya kisasa ya Mwendokasi. Hivi mliojenga na kuamua karakana iwe pale MLIPITIWA, MLIFANYA KUSUDI AU MLILAZIMISHWA. Maana siwaelewi...
  4. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Magufuli azindua daraja la Kilombero. Waziri Mbarawa asema litaitwa daraja la Magufuli

    Mwinyi ana Barbara tu, hapo ni maarufu sana hapa Dar. Ila namshauri Dk. Magu ampe daraja Mwinyi nae ajisikie
  5. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Biblia inawapeleka watu Mbinguni
  6. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Ni heri kupotea kwa hao wachache kuliko Taifa zima kuangamia
  7. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

    Cha muhimu in kumuombea spate pumziko LA milele Mbinguni
  8. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Bidhaa nyingi feki zilizoko madukani zinatuua

    1 nyingine zatoka nje ya nchi, kiingereza kitahusika. Kutojua lugha hiyo hapa balaa 2. Kweli bidhaa zinaficha kuonyesha kirahisi expire date
  9. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Bidhaa nyingi feki zilizoko madukani zinatuua

    Hili nalo neno
  10. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Bidhaa nyingi feki zilizoko madukani zinatuua

    Wadau nawasihi kabla hamjanunua bidhaa mcheck tarehe ya muda wa matumizi (Expire date). Wengi wetu tunafakamia mavyakula, mavinywaji na mijipodozi bila kuikagua. Ndiyo maana kesi za kansa, shida za moyo, figo n.k zinakua nyingi. TUCHUKUE TAHADHARI.
  11. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wa Kibongo tunapenda sana mademu wanene wakati Ulaya wanapenda wembamba?

    Naomba maoni, tofauti hii inatoka wapi? Bongo wembamba ni kama hawana soko kuliko vibonge, lakini Ulaya ni kinyume. KULIKONI?
  12. Fisi wa Dar

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

    Mmmh. Ngumu kumeza. Duh. Washikaji hayo mawazo yenu
Back
Top Bottom