Asante Sana mwalimu kwa ushauri ulionipa nitaufanyia kazi,ila naomba ufafanuzi uhusiano wa ndoto ya kuokota pesa hasa sarafu na shughuli zangu za kila siku, nilikuwa naiota sana na kujirudia mara nyingi ila sasa hivi imeacha.
Mimi nilikuwa ninaota ndoto Niko shule kidato Cha sita na ilikuwa ikijirudia sana wakati nilishamaliza mpaka chuo,haukupita muda nikafukuzwa kazi!mpaka sasa hivi ni zaidi ya miaka miwili sijapata kazi,na hii ndoto bado inajirudia na kidato ni kilekile cha sita,mtumishi naomba ufafanuzi nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.