Hiyo mbona ndogo, yule tapeli wa kisukuma aliiba more than 1 Trilion na tulimuona shujaa.. Shenziii nyie wasukuma mkae kando miaka 50 kwanza. Pumbavu zenu na chuki zenu kwa wachaga
Demokrasia ni usanii tu wa mabwenyenye kujimilikisha dola. Nimekwambia nitajie nchi jirani zetu hapa zenye katiba bora na demokrasia imara ambayo viongozi wake wakuu ni malaika
Kwahiyo Lissu anakupigania wewe? Ebu nipe mfano wa kiongozi yeyote kati ya hizi nchi zinazotuzunguka ambaye ametokea upinzani anafanya hayo uliyoyasema
Unataka kuwa Elon Musk wakati hata tone la GSM huliwezi?? Majirani zako mostly ndio watu mnaofanana kuanzia tabia na mambo mengine mengi, sasa wewe unaitaka demokrasia ya Marekani si vichekesho hivyo
Hata huyo Lissu akishinda, baada ya muda nae ataunda circle yake waanze kutafuna huku nyie mkibakia na kelele zenu kama kawaida.. Wewe pigania tumbo lako tu hakuna wa kukupigania unless useme unampigania Lissu sababu akiingia na wewe itakuwa zamu yako kula keki ya taifa
Ahahahahaha sasa wamehamia kwa Polepole. Walianza kwa Mpina huko, 🤣🤣🤣🤣CCM ni babalao wallah wamemsahau mpaka mwenyekiti wao analala kwenye chemba ya maji machafu
Kama akili za wananchi ndio hizi ndio maana Abdul anatembelea gari la 20B na hakuna chochote mnachoweza kufanya. Jitu zima linashabikia hekaya za mtu yupo Cuba na US lenyewe linasaga TZ 11 kariakoo kufanya uwinga huku halina uwezo wa kubadilisha chochote zaidi ya kutype mitandaoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.