Kwa muda wa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na tuhuma nzito za ufisadi na matumizi mabaya mbalimbali ya ofisi katika Idara ya Uhamiaji, moja ya Idara nyeti kabisa nchi, kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia.
Shutuma hizi zimeelekezwa zaidi kwa KAMISHNA WA UHAMIAJI, ZANZIBAR, Ndugu, MWINCHOUM...