Recent content by Fisadidagaa

  1. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

    Tuitoe ccm kwanza, 60+ democlasia gani hiyo.
  2. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Hahahaaaa,na kweli haya madini ukiyachunguza Sana unaachana nayo maana sound nyingi sana
  3. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Waliojipatia Milioni 280 kwa njia ya Mtandao watozwa Faini ya Laki Tano

    Kama ni hivi wacha nijiajiri kwenye sector ya uwizi tu.
  4. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Vyama, Asasi za Kiraia na Makundi yote yaliyoalikwa na Jaji Mutungi wameitikia mwaliko kasoro CHADEMA pekee. Je, CHADEMA ni Yuda Iskarioti?

    Leta sababu za wao chadema kukataa mwaliko huo halafu ndiyo tujadili.
  5. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Lissu Amekengeuka? Chama Kinaweza Kumchukulia Hatua? Ipo hivi...

    Kweli we mpuuzi,so ulitaka akubali kupewa ubunge.hayo Kama ni maridhiano wawatafute aisitii na kaafu yalipmba.
  6. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Millioni 16 kusafisha Hekari moja: Bashe, Mungu hadhihakiwi!

    Mume na mke
  7. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Balozi Simon Sirro

    Unachanganyikiwa boss cheki fresh
  8. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Tanzania hatujawahi kuwa na serikali moja,sema serikali mbili zinatosha.
  9. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

    Nuksi ya mwendazake, anaweza kuja wakampiga risasi wakamchafulia mama samia.
  10. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Mlitaka ateue mataga FC, mlisha ambiwa huko hamna vichwa ndio maana tunachukua upinzani
  11. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Yeye mwenyewe anasemaje
  12. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Blaa Blaa Blaa, Hujui kuwa wazanzibari hawataki muungano tunawalazimisha tu
  13. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Hata Lissu nae muongo muongo Sana, alijitoboa na sindano halafu akasingizia kapigwa risasi. Si wakuwaamini kabisaaaaa.
  14. Fisadidagaa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    kama walizihakiki ziliingiaje na virusi, watolewe na washtakiwe kwa kulihujumu taifa
Back
Top Bottom