Tumechoka kuangalia upumbavu, bora kutoona bunge kabisa, haiwezekani majitu yanasaini na kuchukua posho ambazo ni kodi ya walala hoi, alafu hakuna wanachofanya kazi kuzomeana, lumbaneni kwa hoja na c matusi na kashfa. Serikali kupitia bunge hilo hilo lipitishe sheria ya kutomlipa mbunge yeyote...
Sasa mbona unajitekenya mwenyewe,, na unacheka mwenyewe. Hata kama wamekusanya madeni ya nyuma si yamekusanywa mwezi wa kwanza, au ulitaka wachambue kwamba kiasi kadhaa ni kodi iliyokwepwa na kadhaa ndo imekusanywa its nonesense, iliyokusanywa imekusanywa tuu.
Serious kwa lipi? kwenye kampeni wamekuwa wakipiga kelele ooh tutaboresha mtandao wa maji,elimu,barabara na huduma za afya, wewe leo unatuambia kazi ya kusambaza maji ni ya DAWASA, kwahiyo uanataka wananchi waende kudai maji DAWASA wakati walimuweka hapo ili kuwawakilisha.Shame on you, Sasa hivi...
Chadema kitakuwa chama cha Kifisadi, maana manyangumi wote wamekimbilia huko. Hivi wadau kingunge, masha, na mwapachu wako wapi? Au limetimia lile neno Ukawa itageuka Ukiwa. By Nyumbu kigeu geu.
Chadema ni kama jua la utosi, likikupiga huwezi ona kimvuli chako. So chadema kitakuwa chama cha tatu kwa upinzani, baada ya ACT na CHAUMA, na sumaye ilikuwa ni lazima ahamie chadema cause ni chama cha ukanda,ukabila,urutheli nk.
Mfumo unaruhusu, ila ishu inakuwa ngumu ukimpa mpinzani uwaziri means unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe, Sitaweza kumsahau mbatia mbunge viti maalumu wa kikwete, alivyo sumbua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.