Recent content by Financial

  1. Financial

    Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

    Kani D B Cooper nae aliuwa?
  2. Financial

    Wanawake mkikutana na wenza wenu msivae suruali zinazobana, mnatia aibu!

    Saizi hauwekezi tena UTT unawekeza kwenye pisi mbona wote ni uwekezaji
  3. Financial

    Kwa makato haya kwa mwanafunzi atanufaika lini sasa?

    Vibubu navyo vya kununua vina chuma ulete🤣 makato hayakwepeki kote kote
  4. Financial

    Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume

    Haa umetisha kwakweli😆😆😆
  5. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Masters gani hata hekima huna unatutukana tu watu wazima ovyo hadi tunajihisi kama tumemvamia chizi, tafuta hekima kwanza ya ku behave kama mwanamke kwa heshima ndio hio elimu yako tutaiona ina msaada kwako, Swali la kizushi,: Hivi nliskiaga mtu akisoma sana anachanganyikiwa ni kweli?🤣
  6. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Ngoja tumsikikizie asipokuelewa na hapa tena mkuu, itakua ni mental disorder itabidi akapate therapy kabisa 🤣🤣 ja
  7. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    We sema tu ukweli kua " mme wangu mi hanihudumii ipasavyo kuacha kazi haitowezekana lazima nichape kazi nimtawale , sio unakuja na stress zake hapa unatutukana forum nzima"🤣 kani tumekuoa forum nzima , si uliolewa kwa hiyari yako kubali kutawalika🤣🤣
  8. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Sasa ndio u panick kama sio stress hizo ni nini sasa, 🤣, yaani umetutukana forum nzima imebaki kutukana ma mods basi
  9. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Hajajua hata lengo la hii mada kumbe ilikua inatafuta mtu wa ku panick ndio anakua mhusika🤣🤣 hili ni jiwe la gizani
  10. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    🤣🤣🤣 Super Woman ashapaniki stress zimemtia uchizi, huku anatukana kila mchangiaji hadi mleta mada , afu anajisifu, She is a good wife, and beautiful woman kisa hatumuoni,
  11. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    You can't fight nature, mwanamke alishaumbwa kuwa chini tu, , shida ya nyi feminist, mmealibiwa kisaikolojia kwa kuaminishwa kua unatakiwa kufanya kazi kumshinda mwanaume, ndio hapo mnapofeli, na wakati sisi wanaume tunafanya kazi kutatua changamoto za uchumi wa familia Hata andika yako...
  12. Financial

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Andika yako inaonesha dhahiri kuwa una stress 50/50 imekualibu kisaikolojia, ngoja nikwambie hakuna kitu kizuri kwa mwanamke alie kwenye ndoa kama feeling za kutegemeana, mke kumtegemea mume katika mambo yanayomuhusu mume na mume kumtegemea mke katika mambo yanatomhusu mke huwa inaleta sana...
Back
Top Bottom