Recent content by Fimbohumo

  1. Fimbohumo

    10 Reasons why Magufuli J.P. will emerge the winner this coming G.E

    He can't win because of the political policy system it not good ,also doesn't tell us how about corruption in the government of ccm
  2. Fimbohumo

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Huna mantinki wewe hujitambui kabisa
  3. Fimbohumo

    Bajeti ya Tanzania 2015/16 ni trilioni 23, za maendeleo ni Trilioni 5 tu

    Bajet hiyo haifai kwa maendleo ya watu takiribani milioni 45
  4. Fimbohumo

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    Dr slaa ni dr wa kweli hao wote ni mboga kwa slaa kwani yeye ni doctor wa kijamii , kiroho, kimwili
  5. Fimbohumo

    Kwanini Lowassa hakuruhusu maswali kama Wassira na Mwigulu?

    Lowassa , nchemba, wote hao hawafai kuiongoza Tanzania kwani wote ni wakumbatia mafisadi nao ni mafisadi Tanzania haiwezi kuongozwa na mafisadi
  6. Fimbohumo

    Mahojiano Mbatia ITV jana yamenigusa

    This a reality
  7. Fimbohumo

    Kama kweli ni mitazamo ya wanavyuo juu ya Lowassa, tuna kizazi cha waliooza akili zao na bongo lala

    Hao ni wanavyuo faki wa kununuliwa tu luwasa achana na maada yako haina mashiko kiongozi wa kuingia ikulu kwa kuhonga fedha siyo kiongozi atauza nchi yetu tumkataeni kwa nguvu zote
  8. Fimbohumo

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Wewe ni fisadi unamwogopa kiongozi mkweli na mwadilifu dr slaa anafaa kuwa rais wa Tanzanian
  9. Fimbohumo

    Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

    Wewe umetumwa na nani ? Inaonekana wewe ni ccm usiye watakia watanzania mema acha hiyo kapeni kipofu
  10. Fimbohumo

    Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Toa hicho kichefuchefu Huyo si mzalendo hata kidogo
  11. Fimbohumo

    Jukwaa la Wakristo Wapo KKKT Kanisa Kuu Dodoma Wanamjadili Kikwete sasa hivi

    Hilo ni changa la macho , tuwe macho
Back
Top Bottom