Recent content by fimbo ya mpera

  1. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Umepigaje hapoo?
  2. fimbo ya mpera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Propaganda za bandari ya Mombasa zafika mwisho

    Biashara ya bandari ina somo kubwa sana ambalo ni budi wengi wakalifahamu.
  3. fimbo ya mpera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Propaganda za bandari ya Mombasa zafika mwisho

    Ukweli na usemwe. Meli kuongezeka bandari yoyote ni jambo linalotamaniwa na kila mdau wa bandari. ni basi tu huku kwetu watu wanapenda kulaumiana kama sehemu ya kutatua changamoto
  4. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    popote ulipo upate PEPSI BARIDIIIIII
  5. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    na ndio maana tunasema kuwa DAR PORT kwa sasa inanufaika na kukimbiliwa na meli nyingi kutoka maeneo mbalimbali Duniani
  6. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    tuendelee kuelimishana kwa kubadilishana maarifa kama haya. hii ndio maana halisi ya JF
  7. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    bila shaka mkuu. tutafanya hivyo katika makala zetu zijazo. ilikuwa ni muhimu sana kupeana hii General overview ili watu wetu wajue faida za meli wanazoziona tofauti na ilivyokuwa
  8. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    hoja yako imejengwa na hofu na wasiwasi. makala yetu inahusu Changamoto za Bandari ya Dar zinazotokana na maendeleo na si vinginevyo. sisi kama Taifa lazima tukubali kuwa kila tunapopiga hatua katika ufanisi kwenye jambo fulani, na changamoto nazo hufuata. ndio msingi wa aliyeandaa makala hii...
  9. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    MSONGAMANO sio sawa na wingi...Bandari ya DAR imepokea meli nyingi haina msongamano wa meli
  10. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Na hizo ndio fursa ambazo watanzania na wasio watanzania tunapaswa kuzichungulia kwa haraka.
  11. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Msongamano unaoingiza pesa ni mzuri kuliko unavyoweza kufikiri
  12. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Sidhani kama ni uzembe ni swala dogo sana na jepesi kuhusu namba. kama magati yapo 12 na meli zilizotia nanga ni 30 automatically meli 16 plus zitakuwa zinasubiri wenzake washushe...a simple logic ni kama shuleni tu tunavyopeanaga zamu wengine wanaingia asubuhi wengine mchana. kwenye Bandari...
  13. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Yes. yapo mengi tu
  14. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Inawezekana sana tu na inaendelea kufanywa na watanzania. wawekezaji wanaoimbwa wamekaribishwa katika GATI NNE tu au TANO kati ya GATI 12 tulizonazo pale DAR PORT
Back
Top Bottom