Sio kwa ubaya ila ukisoma heading za hao washindi maandiko yao unaona wamevuna kifungu mlichokiweka wenyewe ambacho kilikua kinaeleza wazi kwamba kichwa cha habari kisizidi maneno manne lakini nimetazama washindi wot vichwa vyao vimezidi maneno manne na kupitiliza hili ni limekaaje?? au mnatoa...
Kuna mjadala mkubwa sana hapa nchini haswa kuhusu serikali kukopa na kupokea misada kutoka nchi tofautitofauti kama Amerika, Uchina, Falme za Kiarabu na Umoja wa Nchi za Ulaya, mjadala ni mkali na kila msomi na asiesoma huchambua kwa anavyoelewa wapo wanaopinga na wapo wanaounga mkono serikali...
Msingi mkubwa wa kila taifa ni ulinzi na usalama, kuweza kulinda nchi na mipaka yake ili kuhaikisha usalama unakuepo na nchi inapata amani na kuhakikisha shughuhuri zengine zinaendelea mana bila amani hakuna cha mana ivyo basi mataifa mengi duniani hutumia bajeti kubwa katika ulinzi na usalama...
Mwishoni mwa miaka ya 1970, Tanzania tuliweza kuingia katika vita nzito dhidi ya adui wetu kutoka Uganda Nduli Iddi Amini ambapo Uganda iliivamia Tanzania na kwetu akawa kikwazo na adui ambaye ilibidi tupambane nae/nao, na njia ya kupambana na adui wetu tulitumia jeshi na zana za kijeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.