Recent content by filbertm88

  1. filbertm88

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Nairobi kibiashara.

    Nebda bank of Africa nairobi utapata huduma zote, usisubutu kutembea na pesa
  2. filbertm88

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    nimeenda nimetoka Uganda hiv juzi tu nimenunua chupi dazani mbili sawa na pc 24 cotton nzuri na nzito kwa 24,000/=za ugsh
  3. filbertm88

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    naomba msaada wa namba yako mkuu
  4. filbertm88

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari za majukum wa JF, Naomba msaada wa mawazo, mimi ndo kwanza nahitaji kuingia kwenye game la biashara, ninamtaji usiozid 3.5 milion,na nashawishika kufungua biashara ya nguo za watoto kuanzia 0- 12 mwezi au vipodozi nipo mkoa wa mara. naomba mawzo kwa wenye uzoefu na biashara hizo.
  5. filbertm88

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Ondoa aibu fanya kazi na punguzq matumizi yasiyo ya lazima
  6. filbertm88

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa ahadi nyingine kwa watumishi akiwa Tabora

    Yote kheri kikubwa tujue kazi ndo msingi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom