Recent content by FikraHai

  1. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kauli ya Zitto ya kufungia mwaka

    Nimekukubali Kiongozi kwa majibu yako yenye tija! Ila ukae ujue kuwa wengi kati ya wale wanaompinga Zitto ni mamluki waliovaa mask.Kazi yao ni moja ni kuvuruga akili za wasio nazo za kutosha.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatuwezi kutengeneza matangazo mazuri ya biashara?

    If u have a multimedia project you can contact me.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatuwezi kutengeneza matangazo mazuri ya biashara?

    Rushwa Tanzania inarudisha sana maendeleo nyuma. Watengenezaji wa matangazo mazuri wapo ila kupatiwa nafasi ndo inakuwa ishu.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya Mzanzibari kwa Mwanakijiji... usituzibie

    Kiukweli naungana na wewe katika hili. Matatizo hutatuliwa na sio kuhairishwa. Hili suala la ZNZ Limehairishwa vya kutosha sasa iliyobaki ni kupatiwa ufumbuzi ambao kwangu naona ni kuwaacha Wazanzibar wajiamulie wenyewe wanachotaka kwa sasa ili kama ni kuvunjika uvunjike kama ni kuendelea nao...
  5. F

    JamiiForums Tanzania WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

    Viva dr. Slaa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Uongo mwisho una mwisho, Mbinu iliyopo ni kugombanisha watu ila ujue watu si wapumbavu kiasi unachofikiri
  7. F

    JamiiForums Tanzania Zitto akifafanua kitu kuhusu uchimbaji wa mafuta na gesi Mtwara - BBC

    Watu wawe makini, kwa haya ya kumshambulia Zitto si bure.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time. Lincoln, Abraham
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

    Wengi ya watu wanachangia kwa jazba na nafikiri pia kuna wachangiaji humu wametumwa kuvuruga zaidi na sio kujenga. Ni wakati wa busara zaidi kuliko kukurupuka katika hoja.
Back
Top Bottom