pole sana ndugu kwa tatizo lako hilo. Nakushauri muone afisa elimu wa mkoa wako kwa ufumbuzi wa haraka juu ya tatizo lako au Katibu tawala wa mkoa. Hao wana mamlaka ya juu ktk suala lako kulipatia maamuzi,
Habari yenu wana JF, Naomba msaada kwa anaeelewa taratibu za kuagiza vinywaji moto na baridi kutoka nje ya nchi. Gharama za ushuru mpakani zipoje kwa vinywaji? TFDA au TBS ni mamlaka ipi inaruhusu au kuidhinisha uingizwaji wa bidhaa hizo? Mimi nipo Mbeya nataka kuagiza vinywaji kutoka nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.