Recent content by FIKRA MAKINI

  1. F

    Biashara za kuagiza vitu China

    Ni pm tuyajenge mm kuna mtu huwa na mtumia mara nyingi na sijawahi pata changa motto
  2. F

    Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  3. F

    Katiba mpya ni sasa

    Huu ni wakati ambao katiba mpya haikwepeki. Kutokana na mazingira ya hivi karibuni wahitimu ni wengi kuliko ajira tulizo nazo na CCM imeshindwa kuja na mbinu mbadala ya kukabiliana na wimbi hili. Lakini pia rasilimali ni nyingi kuliko wahitimu tulio nao kwa maana nyingine vijana tunahaki...
Back
Top Bottom