Chadema kwani hakuna waislam? au kwa sababu hakuwataja?
12. Said Amour Arfi (makamu m/kiti bara, mbunge mpanda kati)
13. Said Issa Mohamed (makamu m/kiti Zanzibar)
14. Hamad Mussa Yusuph (Naibu katibu mkuu zanzibar)
15. Mustapha Bouay Akunay (mbunge Mbulu)
Hata hivyo chama kinakuwa na...
Jamani ile ni Islamic seminary tu. unaposema watu wanaosali kule wapo tofauti sijui unamaanisha nini.
Ninachotaka kusema ni kuwa katika uislamu napo kuna madhehebu ndani yake ingawa hayajionyeshi sana ingawa kwa Tanzania wengi ni SUNNI. vile vile ile ijulikane kwamba ile seminary inafadhiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.