Mwansheria na Katibu wa Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Kampuni ya Pan African Power (PAP), Joseph Makandege amesema baadhi ya watu wanaichafua IPTL kwa sababu zao binafsi, huku ukweli ukifichwa.
Makandege alibainisha kuwa, baadhi ya watu wanatumiwa kuichafua IPTL huku akisisitiza...