Recent content by fihavango

  1. fihavango

    JamiiForums Tanzania CCM imekufa kabisa

    Hahami baba yako tuu ... Na wajukuu wanahama kumfata babu Yao
  2. fihavango

    JamiiForums Tanzania Return your lost data

    inategemena na umhimu wa data zako na ukubwa pia wa data zilizopotea.. napatikana iringa
  3. fihavango

    JamiiForums Tanzania Return your lost data

    Hi guys, Return back your lost files any formatted hard drive: Kwa watu wanaohtaji kurudisha files ambazo zimepotea either kwa kuformat hard disk. Mnaweza kuniibox then we will make busness ‪#‎thanks‬
  4. fihavango

    JamiiForums Tanzania Kurudisha data ulizo format kwenye hard disk

    Hi guys, return back your lost files any formatted hard drive,FLASH DISK: kwa watu wanaohtaji kurudisha files ambazo zimepotea either kwa kuformat Hard Disk ,FLASH... mnaweza kuniemail kwa titusf@rucu.ac.tz . ‪#‎thanks‬ Wizzard frofessional commads
  5. fihavango

    JamiiForums Tanzania website technology

    website hii ipo inauzwa yoyote anaye taka kuinunua tuwasiliane my mail titusf123@gmail.com links ShopChap online system
  6. fihavango

    JamiiForums Tanzania Tovuti inauzwa

    Website hii ipo inauzwa yoyote anaye taka kuinunua tuwasiliane my mail titusf123@gmail.com links ShopChap online system
  7. fihavango

    JamiiForums Tanzania website development

    hii ni demo ya website yangu... yoyote anaye vutiwa na mimi na tukaweza kutengezeza kwa ajill ya project yoyote anakaribishwa.. link ShopChap online system
  8. fihavango

    JamiiForums Tanzania Maombi yana nguvu, hatimaye Mungu amenipatia ajira

    Ameni,, mungu yu pamoja nami.. naamini hatoniacha kamwe na wala mungu hachoki kutusikiliza maombi yetu
  9. fihavango

    JamiiForums Tanzania Matapeli wengine wa ajira hawa hapa

    mwingine ni huyu anajiita mr. msuya 0757878449..
  10. fihavango

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Database, Networking, Web Technology

    hakuna shida kaka,, nipo tayari kufanya kazi popote,, kikubwa ni maelewano tuu chikaka
  11. fihavango

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu updates za E-Government?

    Habari wanajamii? Naombeni taarifa zozote zinazo husiana na E-Government, maana walitoa post za kazi lakini mpaka sasa hivi hakuna updates zozote, je kunamtu anatarifa kuhusu hawa watu?
  12. fihavango

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Database, Networking, Web Technology

    naamini nikijitolea naweza pata connection nying kuliko nikisema nikae tuu... nipo najitolea lakin pia natafuta kazi...
  13. fihavango

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Database, Networking, Web Technology

    Habari wanajamii, mimi ni mhitim wa staashada ya computer science natafuta kazi mojawapo kati ya hizo hapo juu, ninauzoefu wa mwaka mmoja katika ufanyaji kazi. Sasa hivi nipo Ruaha university college(RUCO) Iringa, najitolea kufanya kazi kama system admin, kwa yeyote ambaye anataka tufanye kazi...
  14. fihavango

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari zenu wana jamii, napenda kuwataarifu kuwa natafuta Kazi yoyote inayohusiana na IT ,, ninaujuz wa kutosha na pia ninauzoefu wa kutosha pia nimtaalam wa Database administrator ,programming language like php,Java ,c++, vb. pia naweza kutengeza website mbalimbali, Sahiv nimemaliza chuo Nipo...
  15. fihavango

    JamiiForums Tanzania Website development

    Kwa wale wenye campuni au wanabiashara na wanahitaji kutengenezewa website zao, tupo kwa ajili yako,,, tunatengeneza website kwa bei nafuuu,, na wale wanahitaji kujifuza lugha mbalimbali Kama c#,Java,php,vb.net, android mobile application,,iOS application na encrypted database Kama MySQL ...
Back
Top Bottom