Recent content by fihaa

  1. F

    JamiiForums Mwanamke, Hata wewe unayo haki ya kutoa talaka...!

    mimi sikubaliani na wazo lako mwandishi kwenye swala la ndoa mwanaume ndie kichwa cha familia hivyo yeye ndio mwenye uwamuzi wa mwisho hasa kuhusu talaka wakati mwengine wanawake wanadai talaka bila sababu za msingi.wengine wanadai talaka ili wagawane mali au kapata kisharobaro tayari anadai...
  2. F

    JamiiForums Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    napeeeeeeee bwana mdogo asiejitambua utadhani ccm niyakwake vile
  3. F

    JamiiForums IKULU: Waliojitangaza kupigwa na JWTZ - Mtwara ni vibaka

    duh kuuza sura
  4. F

    JamiiForums Mgongano wa hoja: Ndoa za matajiri zina furaha na hudumu kuliko za maskini!

    hata za kimaskini zinadumu kama wanandoa watakua ni wenye kulingana hali zao yaani wote wawe na hali moja(maskini) watakua wakufa nakuzikana
  5. F

    JamiiForums Sakata la kodi ya Simcard: Rais Kikwete aingilia kati!

    huyo ndie jk bhanaa hapana chezea
Back
Top Bottom