Upuuzi,respond kwenye hoja..Albert Einstein alifail shule pia,Bill gates, na wengine wengi wakafanya mambo makubwa.And kama ni kahome boy kako si tufanyeje,mi jirani yangu...so what?attach hoja zake za kiubinafsi za kutokuitakia mema chadema, kujidai wanajua kuliko watanzania wengine,kuandaa...