Recent content by Field Marshall 11

  1. F

    PreGE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia. Ampongeza kwa kuleta mageuzi makubwa ya uwekezaji

    Kwa sababu siamini kama ni kiwanda kweli, naona drone moja tu hapo nje. Ningeweza kuamini kama ningeona mashine za kutengeneza drones ndani ya kiwanda.....Hiyo ya kuonyesha drone moja tu halafu unasema kiwanda haitamwaminisha yeyote yule.
  2. F

    Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

    Viongozi wa Tanzania wana matatizo ya akili. just to say. Yaani mara waseme hivi halafu kesho wanabadilisha. Huu ni upumbavu mkubwa. Kitila Mkumbo kasema wanauwa ili kusapoti miradi iliyokwama kwa sababu hatujapewa pesa na wadau wa maendeleo . Huyu anaongea kitu ambacho hakielewekI. Kuna kipindi...
  3. F

    Kwanini Wakristo Hukataa Ushahidi wa Mtume Muhammad ﷺ Lakini Hukubali Mambo Yasiyo na Maneno ya Yesu Mwenyewe?

    Biblia na Quraan zinaingiliana sana, sababu ni kuwa ziliandikwa katika kipindi kilichokaribiana.Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
  4. F

    Rwanda na Uganda zaongoza EAC kasi ya Ukuaji Uchumi, Kenya Nchi Pekee Uchumi wa Kati, EAC, Tanzania yarejeshwa Kundi la Nchi Masikini!. WHY?!

    Pesa za serikali haziwezi kwenda makanisa, hii nchi imeibia sana kanisa, shule zote za kanisa, hospitali na miradi mingi ya kanisa iliibwa na hii serikali ya wapumbavu. Wanaopewa pesa za serikali ni hao makobazi, ambazo akili zao zipo makalioni.
  5. F

    Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

    Anaweza akawa, ila si hawa tuliowaona....Hawajui vigango vyao, hawajui maparoko wao, hawajui nyimbo za wakatoliki ambazo zinatumia nota, wao wanaimba mapambio.....Katoliki hakuna mapambio, hao wenye akili fupi hakuna hata mmoja hapo ni mkatoliki yule wa kubatizwa....Ni wahuni walioletwa na huyo...
  6. F

    Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

    Wewe fala uwe unanyamaza, Wakatoliki gani hawajui hata vigango au parokia zao???? Huyu pope ni wa 16 kwa akili yako? Kila siku anatajwa kanisani, wangekuwa wakatoliki wangejua......lakini hayo mataahira wanajua dini yao wenyewe ila hawawezi kuwa wakatoliki wanaoimba mapambio......KWA TAARIFA...
  7. F

    Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

    Mwigulu mwenyewe na sura yake iliyokomaa ni feki. Muongo na mshupaliaji vitu kama mama yake, bibi Kizimkazi.
  8. F

    Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

    China na Russia, kelele nyingi hawawezi lolote. USA ni bingwa......Poleni ninyi mnaodanganywa na hao wapumbavu wenzenu. Hamuiwezi USA.
  9. F

    Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

    Wewe jipe moyo tu.....Kwa hiyo unaona Samuya anafaa? Kweli wewe akili yako haina akili. Kwenye vita lazima kuharibike halafu tutajenga tu. Wewe unatoa mifano hasi tu. Mbona Luanda, Angola leo ni mji mzuri na wa kuvutia na mafuta yanachimbwa vizuri tu. Acha kudanganya watu. Nafuu tuwe na magofu...
  10. F

    Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Wewe fala, tumeshaambiwa magari mangapi yamechomwa moto, pikipiki, police post, mwendakasi, sasa tunataka tujue wamekufa vijana wetu wangapi na pia tunataka tujue hao waliokufa ambao wazazi wao hawajapata hadi sasa wako wapi?
  11. F

    PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Huu ni uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu, tunaona siku zote hata kwa wale wanaopigana iwe Israel vs Hamas, wanaojeruhiwa wanatibiwa hospitali, Russia na Ukraine, adui wanaoumizwa wanatibiwa hospital kama Vienna convention inavyotaka, jamani huyu shetani anaua bila huruma, watu wengi wameuawa...
  12. F

    PostGE2025 TEC: Kukataa majeruhi wasitibiwe, kufichwa na kunyimwa miili ni kinyume na sheria, watu wapewe maiti za ndugu zao wazike

    Asante sana Askofu Pisa, watu wana haki ya kuwazika wafu wao. Leo Samia hajali na anawafukia kama mbwa kwenye makaburi ya pamoja, huo ni ushetani wa huyu mama asiye na heshima wala akili.Yaani anawaua halafu anawanyima maiti zao, anazila kama alivyoambiwa na mganga wake yule aliyemleta bungeni...
  13. F

    DP World Ilivyozima dili chafu za TEC. Bandari ya Dar, hasira kwa Rais Samia

    Kwanini MOD anaruhusu andiko ambalo haliwezi kuwa la kweli bali la kueneza chuki????Tangu lini TEC walishafanya/ wanafanya/au wanategemea kufanya biashara ya bandari? Hawa watu wanafanya JF idharaulike, kuna vitu vinavyofanana na ukweli, lakini suala la bandari liendeshwe na kanisa???????HIYO...
  14. F

    PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

    Wachukue na shule zao, sijui kama serikali itabaki na shule za maana, Shule zote za maana za serikali ni za kikristo zilizotaifishwa na Nyerere wakati nchi zingine hazikutaifishwa.....Ngoje nikuulize wewe.....Shule gani ya kiislaam ilitaifishwa? Hospital gani ya kiislaam ilitaifishwa? Taja...
  15. F

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Hili jambo linashangaza sana, Hivi hawa wanaowaua watu ni binadamu kweli au wanyama???? Au kwa sababu wana bunduki na wakubwa zao wanaona ni sawa tu kuuwa binadamu wenzio?Huyu mnayemuita waziri mkuu (Sijui ni waziri mkuu gani, maana hatukumchagua), Walinzi wake walihusika na kumpiga na kumuua MC...
Back
Top Bottom