Je katika kazi za MDAs na LGAs ambazo usahili wake umepangwa kufanyika katika kanda nne naweza kubadilisha kanda ya kufanyia usahili.....mfano nimepangiwa kanda ya Dodoma lakini kwa sasa nipo Dar es Salaam?
Ahsante mtoa mada kwa kutengenezea kiwanja cha kufahamiana na kupeana fursa...
Wakuu mimi ni mtaalamu wa masuala ya GIS yaani Geographical information systems. Kwa wale wenye uhitaji wa kutengenezewa ramani za maeneo mbalimbali kama maeneo ya miradi au kwa wale wanaofanya research kutengenezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.