Recent content by Fibonacci

 1. Fibonacci

  Naombeni List ya nyimbo za hiphop ya bongo, zilizokuwa mixed na nyimbo za zilipendwa (zile za zamani)

  Mfano nyimbo ya tamaduni music - Jemedari au NashMc - Mapendo...... Natanguliza shukrani
 2. Fibonacci

  Anaehitaj Chumba UDSM Mabibo Hostel kwa 140 000/=

  ni hostel za chuo bro....sio binafsi
 3. Fibonacci

  Anaehitaj Chumba UDSM Mabibo Hostel kwa 140 000/=

  mwenye uhitajii ankcheki PM
 4. Fibonacci

  HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

  Habari wakuu, je naweza kupata wapi majina ya UDSM ya mikopo? Au yamebandikwa chuoni, kwa waliofika?
 5. Fibonacci

  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza.

  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza ya majina ya wanafunzi 25,532 waliopewa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/19. Mkopo huo una thamani ya TZS Bilioni 88.36 ambapo wanafunzi wa kiume waliopewa ni 16,085 na wanafunzi wa wakike ni 9,447. Source: Swahili TImes
 6. Fibonacci

  Mjikumbushe Mzumbe High School

  hahahaha....umenikubusha mbali san, Mongola na Adrian ndo ilikua mitaa ya Nyakizee ya kujidai
 7. Fibonacci

  Ndo nimetoka ofisi za TCU

  duh...asee..nmejaribu hii kitu kumfanyia mtu confirmation imekubali
 8. Fibonacci

  kwa wale wa UDSM (Single Admission), kuna wanao kutana hii message "You have REJECTED this admission offer"

  Hhahaha! nilitegemea kutakua na breakout, kumbe kuna reversal, trend imeamua kua against na mimi ghafla,,,,bongo yetu bhana!
 9. Fibonacci

  kwa wale wa UDSM (Single Admission), kuna wanao kutana hii message "You have REJECTED this admission offer"

  Habari, Kwa wale waliochagulia UDSM without mulitiple selection, kuna mtu mwingine anaekutana na ujumbe "You have REJECTED this admission offer " ilihali hakukua na sehemu ya kukubali wala kukataa? Mwanzoni walikua wamendika "Your admission offer is confirmed to this institution" ila sasa...
 10. Fibonacci

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Karibuni tubashiri mechi za leo!

  Hapa nataka nichague mikeka kadhaa....afu niweka Singles na doubles (if possible)...ushauri wenu wadau
Top Bottom