Recent content by fiasco

  1. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Ofcoz chief nenda utazipata..una uhakika gani kama ina hati hati toa uthibitisho wako
  2. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Nataka nifanyie kazi niwatumie maana naona kuna point inashindwa kueleweka
  3. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Taarifa zipo wazi soma kwanza usikurupuke kucimment
  4. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Sasa naanza kuelewa ule msemo things in ground are different umesomea financial and risk management na upo certified kama ulivyosema nahisi unaongea sana theoretically sana than in ground vitu vilivyo unaweza ukawa unachambua and you have tips but let i think utakuwa kuna vitu unashindwa kwenye...
  5. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Ukarukia hapa na iyo 300M but ulikuwa ni mfano wa mhusika nlikuwa namuelewesha
  6. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Dark mind
  7. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Mteja akihamisha hela bank moja kwenda nyingine let say alikuwa anapewa 6% then mteja anataka 7% utakataa hela yake lazima negotiate ili mteja mumchukue kumbuka kuna ushindani wa kibiashara na iyo 300 sijajua umeitolea wapi hadi unasema tunababaika nayo but ina impact kwenye mzunguko wa kibiashara
  8. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Either hujanielwa, au hujasoma maelezo vizuri niliyoyaandika.. ushawahi kuweka iyo fixed ya 300M ukapewa izo 3% ndani ya mwaka?pengine hujui fixed ni account maalumu na zinamature kutokana muda na rates zinatofautiana na muda unaotaka kuweka na kama hujui hii negotiation huwa inatokea mteja na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Chief ni kutapeli ww?
  10. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Nishalijibu hili swali chief labda hujaelewa
  11. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    [emoji23][emoji23]kila sehemu kuna shida huwezi kukimbia changamoto
  12. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Hongera chief, sema shida kidogo unaelimu ila unachokosea una attack ukibadirika kidogo tu utakuwa mtu mwenye mawazo ila ukiwa una attack unaweza ukawa una ujuzi lkn skills utakuwa una lack
  13. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Sijaona nondo zako, mtu mwenyewe hata mwezi bado hujatimiza humu jf labda tu unapenda attention
  14. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Ofcoz uko sawa kabisa.. lakini hadi sasa bank imeshakusanya deposit na iyo product tyr ina mwaka kwenye market so unaweza usione ,izo risk management hazifanyiki lkn nikuambie kila kitu kinafanyika chief labda tu kumchunguza sana Bata hutamla ila nikuakikishie bank inasurvive na inafanya vyema...
  15. F

    JamiiForums Tanzania DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

    Poa poa chief
Back
Top Bottom