Recent content by ffancis

  1. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nafasi haimfaulishi mwanao shuleni

    Wazazi na walezi lazima ifike kipindi muache kuangalia watoto wenu wamekuwa wangapi katika mitihani yao bali mnatakiwa kuangalia watoto wenu wamepata daraja gani katika matokeo yao. Tabia ya kuangalia mtoto ameshika nafasi ya ngapi darasani imekuwa endelevu kwa miaka mingi sasa wazazi wengi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Enyi wavaa nyeupe

    shukrani kwa sapoti yako
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Enyi wavaa nyeupe

    Mwanangu sasa watu weupe wanapoteza sifa yao ya uwajibikaji na ufataji wa sheria, hatuoni hata mmoja akikemea hili zaidi ilisikika kauli moja enzi zile nayo ilisema "hizo ni za kiwi tu" dah! kauli ile iliwapa ukubwa sana hadi leo haikavunjwa. Ila Mwanangu siku hizi hata wakisimamisha...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Enyi watu weupe?

    ENYI WATU WEUPE Mwanangu sasa watu weupe wanapoteza sifa yao ya uwajibikaji na ufataji wa sheria, hatuoni hata mmoja akikemea hili zaidi ilisikika kauli moja enzi zile nayo ilisema "hizo ni za kiwi tu" dah! kauli ile iliwapa ukubwa sana hadi leo haikavunjwa. Ila Mwanangu siku hizi hata...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Vipi unaweza kuandika kwa mfumo wa shairi, tenzi, ngonjra au lazima liwe kwenye mfumo mmoja wa makala tu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuingia deep web & dark web

    Nimetoka patup
Back
Top Bottom