Recent content by feyzal yusuph aldoniah

  1. F

    Matokeo yangu ni haya lakini bado sijapata shule

    ukiangalia utaratibu walioutumia kuchagua wanafunzi haueleweki mfano kuna jamaa kamaliza airwing kapata 3 na ana chemistry C,bios C na physics D kapelekwa mzumbe PCb alafu rafiki yake ana C moja tu PCB kapelekwa rukwa yaaani aibu so usishangae dogo
  2. F

    Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    yaan mi mpaka nahisi kuchanganyikiwa home wanasumbua sana yaani watoe tujue mapema ili kama kwenda kuuza madafu twende tu
  3. F

    Diamond apost ujumbe wenye mafanikio makubwa

    aro wengine hatujui kiingereza tumesoma kanjenje secondary school na ngeli nilipata z so tumieni kiswahili jane lowassa
Back
Top Bottom