Recent content by feya bugalama

  1. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Uchaguzi wa serikali za mitaa umemalizika na chama tawala kimepita bila kupingwa baada ya wagombea wa upinzani kuelezwa na wasimamizi wa uchaguzi kuwa hawakukidhi vigezo na hivyo kuenguliwa. Hali hii imewaacha watazania wakiwa hawajui wafanye nini ili kupata viongozi wanaoendana na matwaka...
  2. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Siasa na ushiriki wa wananchi

    Imekuwa ni mazoea kwa wanasiasa walioko madarakani kuwaasa wananchi kutojihusisha au kutotumiwa na wanasiasa licha ya kutowataja wanasiasa hao wanaofaa kuepukwa. Jambo hili licha ya kurudiwa Mara kwa Mara na viongozi kupitia majukwaa mbalimbali, lakini je ni kweli wananchi wanapaswa kujiepusha...
  3. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee akamatwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya Serikali, ahojiwa na kunyimwa dhamana

    Dawa ya mpotoshaji si kumweka lupango Bali ni kumpuuza tu. Kama angekuwa anapotosha hata wananchi wasingeendelea kumskiliza Bali wangemzomea tu. Hivyo watanzania ni watu waelewa fika mpotoshaji na msema kweli ni yupi. Uboreshaji wa huduma za afya in miongoni mwa vitu vinavyooneka bayana kwa...
  4. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Tundu Lissu iangaliwe kwa jicho la tatu na wapenda amani

    Umenena vizuri sana. Pamoja na hivyo nini chanzo cha yote anayoyashadadia lissu?. Kama serikali ingefanya uchunguzi wa kina na kuwapata wahalifu na pia bunge kumhudumia bila hiyana lissu asingekuwa na lakusema. Hata kama angeamua kusema kama unavyosema sababu ya uchu wa madaraka nadhani...
  5. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Edo Kumwembe kuhusu Serikali na upinzani

    Anaitendea haki taaluma take.
  6. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi wazuia mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa

    Si waajiri mapolisi wengine.
  7. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Haikuwa sahihi msaada wa Rais kwa Ruge kutangazwa kwa umma

    Yamkin walipata kibali kutoka mhimbili but TL hakufanya Ivo. Naota japo Npo macho.
  8. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma: Siku zote haki huinua taifa na uovu/dhulma huangamiza taifa.

    Hii nchi inakoelekea sipajui kabisa. Hii inamaana waliopitisha wanafaa kuendelea kuwa wawakilishi?
  9. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali haioni aibu kudanganya umma kuwa mpaka sasa bajeti ya afya imetolewa 31% na imevunja rekodi?

    Tunamalizia uchaguzi wa marudio kwanza mengine baadae.
  10. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu umeamini Jeshi la Polisi lisipoingiliwa linafanya kazi

    MO karudishwa Na watekahji kwa hiari yao si plc Kama unavyodai.
  11. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Mtandao: Mbaroni kwa ‘kumtukana’ Naibu Spika, Tulia Ackson

    Hapo wala hajatukana amejaribu tu kuonesha namna shughuli au misafara ya mh inavyokuwa adha kwa watumiaji wengine wa barabara Na wakaaji wa maeneo husika
  12. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apinga uzazi wa mpango, asema wananchi wanapotoshwa

    Hongera mh raisi. Tunahitaji nguvu kazi
  13. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    58m si fedha ambazo zinaweza kumaliza matatitizo ya jimbo hata 0.0001%. Pia haiingii akilin wanao ulizwa ni wabunge wa upinzani tu..je wa matumizi yao yakoje?
  14. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jitu Soni wamejiuzulu nafasi zao

    Nadhani wanaunga mkono juhudi za kujiletea maendeleo.
  15. feya bugalama

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Alipie tu kodi hakuna taasis ya serikali iko kuhujumu juhudi za mtanzania yeyote.
Back
Top Bottom