Anko Magu alishamjambisha kidogo tu, sasa hivi amekuwa joga vibaya sana. Kaamua kuwa chawa mwandamizi ili abaki salama , watanzania ni wasaliti wapiga kelele kwenye keyboard ila ground utakuwa mwenyewe.
Kwa mimi nimekuelewa vizuri, umejaribu kutumia fasihi kutoa plans, bora hata wewe unayetumia keyboard kuchanganua, kuna wenzio waandishi walijiita hadi mabalozi wa Jamii forum leo wamefyataa vibaya sana. Big up Robert Heriel Mtibeli
Watanzania ni maku** tu wameona kabisa mtu anachukuliwa na watu 3 wanakimbilia kuja kuandika mitandaoni. Msaada ulitakiwa kutolewa palepale huku mtandaoni utapata msaada gani?
Vijana wenzangu, nguvukazi ya taifa hili punguzeni kuwajibu watu wanaotoa matamko kama haya. Wapo kupima upepo mpaka sasa zimebaki siku chache sasa wanataka kujua haya maji yanaspeed gani. Tusiwajibu kwa maneno tuwasuprise kwa vitendo. Over
Lazima tujue kuwa ni mashindano ya mtu asiye na silaha vs mwenye silaha kali na dola, kwaiyo lazima tumfanyie analysis kwanza kutafuta mapungufu yake. Na ipo wazi kabisa mapungufu yake ni akili, wanatumia nguvu kuliko akili.
Tukijipanga na kuweka matumizi makubwa ya akili tutatoboa.
Najua hilo na ndio maana nikasema kuwe na forum za siri kama hamtoweza kufanya kwa kikundi basi tengeneza agenda zako mwenyewe na sifanyie kazi kama unajimudu la sivyo tutabaki tunajidanganya tu kwenye mitandao na hakuna kitu kitakachotokea.
Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents.
Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.