Recent content by Fettyabduly

  1. F

    Tetesi: HESLB yatoa majina ya mkopo walioappel kwa mwaka wa masomo 2018/2019

    Ni kwel wametoa mzee sema tatzo unakuta chuo kizima watu watatu tu ndo wamefanikiwaaa hahahahaahaha
  2. F

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Duh we mbona muongo kwa hiyo na walio-appeal wakafanikiwa je!! we hizo takwimu zako za kiganjani umezitoa wap..duh!!!!....
  3. F

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Hivi hayo majibu ya ku-appeal yanatoka lini maana walisema mwishoni mwa mwezi November lakini hii ni December jaman duuh!
  4. F

    MSAADA JUU YA SUALA HILI LA LOAN BOARD

    Kwa maana gani mkuu...yan hauruhusiwi kuingia au???
  5. F

    MSAADA JUU YA SUALA HILI LA LOAN BOARD

    Poa nmejarbu lakin imegoma kuingiaaa
  6. F

    MSAADA JUU YA SUALA HILI LA LOAN BOARD

    Nimeingiza tayr email yangu ndio maana nkaletewa hiyo attachment nliyokuonyesha hapo juu ila nshukuru kwa msaada ndugu...
  7. F

    MSAADA JUU YA SUALA HILI LA LOAN BOARD

    Nina tatizo la pasword zangu kugoma kuingia ktk account yangu niliyoombea mkopo na pale nlipojaribu ku-recover kimekuja kitu ambacho xjakielewa...Je!! zipi ndo pasword ktk maandish haya chini??
  8. F

    Msaada juu ya best android multiplayer game

    Dah! jaman kweli mi pia nahitaji kujua naombeni sanaa🙏🙏🙏
  9. F

    NAOMBENI MNISAIDIE NDUGU

    Nitajari Kuomba kwa mara ya pili ili nione kama nitafanikiwa.. Endapo nitashindwa basi sina budi kuomba diploma
  10. F

    NAOMBENI MNISAIDIE NDUGU

    Ahsante ntakutafuta ndugu
  11. F

    NAOMBENI MNISAIDIE NDUGU

    Niliapply vyuo kama NIT katika kada ya Bs degree of education in mathematics and information technology na ndio kozi niipendayo.
  12. F

    NAOMBENI MNISAIDIE NDUGU

    Ahsante kwa ushauri
Back
Top Bottom