Nafikiri swala kubwa la kujiuliza hiyo laana ni laana gani... Siku hizi hata watoa laana sijui hawapo au wamekufa yani hata havieleweki. Lakini kikubwa ninachoona hakuna asili inayoharibu mara nyingi naona ni uchawi unaoelekezwa kwenye asili. Muhimu ni kujua namna ya kusaidia wahanga. Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.