Recent content by festus sostenes

  1. festus sostenes

    Msaada certificate au Diploma

    Habari wanajukwaa? Mwenzenu nina swali ambalo sielewi... Mwaka jana nimeomba NACTE kujiunga na course ya Diploma katika health Science (Medical laboratory technology). Nilichaguliwa chuo fulani kiko Kinondoni kinaitwa Mount Ukombozi kwamba nikasomee ORDINARY DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY...
  2. festus sostenes

    Msaada chuo cha paradigms college of health and allied sciences

    Nataka kusoma Medical laboratory ila ni course mpya kwa mwaka huu
  3. festus sostenes

    Msaada chuo cha paradigms college of health and allied sciences

    Asante rafiki. But sometimes kuna vyuo vngne utaona kwenye list ya NACTE kimesajliwa ila mwisho wa siku ukihitimu unaambiwa huajiriwi kisa eti HAKITAMBULIKI mfano ni KAMPALA
  4. festus sostenes

    Msaada chuo cha paradigms college of health and allied sciences

    Jamani mimi mwanajukwaa mwenzenu naomba kuuliza kuhusu chuo cha Paradigms college of health and Allied Sciences kilichoko Kimara Dar Es Salaam. Je kinatambulika na NACTE na vipi ukihitimu unatambuliwa hupati shida ya kuajiriwa? Kwa anayefahamu anisaidie. Asante
  5. festus sostenes

    Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

    Dogo nina wasiwasi na Trend ya elimu yako hujakutana na changamoto. Please jipange usijerudi home huku ulishafika chuo kikuu. Form 6 is nothing to university. That is only a shortcut. Mtu aliyepitia diploma atakupita vizuri ukiendelea kuleta huko kujiamini kwako. Ushauri tu
Back
Top Bottom