Recent content by FestoKaguo

  1. FestoKaguo

    Jinsi ya Kushinda Tabia ya Kuishia Njiani Unapoanza Kitu

    Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
  2. FestoKaguo

    Kama na wewe ni kijana wa kitanzania na una hii tabia basi huu uzi unakuhusu

    Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia, vijana wengi sana wanatumia muda wao mwingi kujifunza njia mbali mbali za kujiingizia kipato kupitia...
  3. FestoKaguo

    Badala ya kusubiri fursa ijilete fanya hivi ili uweze kuwa mbele ya muda

    Upo sahihi pia wote hatuwezi kufanya kitu kimoja
  4. FestoKaguo

    Why Literature Review Is More Than Just Summarizing Articles

    When most people hear the term "literature review," they immediately think of writing a long list of what different authors have said. While summarizing is part of the process, a literature review goes far beyond that. At its core, it is about building an academic conversation that frames your...
  5. FestoKaguo

    Mbinu 7 za Kukusaidia Kukumbuka Zaidi ya 80% ya Kitu Ulichokisoma

    Pole sana kaka hata now unaweza kufanya kazi kwenye mishe unazozifanya
  6. FestoKaguo

    Mbinu 7 za Kukusaidia Kukumbuka Zaidi ya 80% ya Kitu Ulichokisoma

    Soft copy kama unatumia simu bora uweke donot disturb maana zile notification huwa zinaondoa umakini wa kusoma, but all in all I prefer hard copy inakupa mda wa kufocus zaidi.
  7. FestoKaguo

    Mbinu 7 za Kukusaidia Kukumbuka Zaidi ya 80% ya Kitu Ulichokisoma

    Yeah because I used Microsoft word to prepare it use yours too to C & P if it's easy😂😂
  8. FestoKaguo

    Mbinu 7 za Kukusaidia Kukumbuka Zaidi ya 80% ya Kitu Ulichokisoma

    Wapo wanaosoma vitabu kama HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE, RICH DAD POOR DAD, HOW TO BECOME MONOPOLY n.k
  9. FestoKaguo

    Mbinu 7 za Kukusaidia Kukumbuka Zaidi ya 80% ya Kitu Ulichokisoma

    Kujifunza kitu kipya ni rahisi, lakini kukikumbuka kwa muda mrefu mara nyingi ni changamoto. Wanafunzi, watafiti, na hata wafanyakazi kazini mara nyingi hukutana na hali ya kusoma kwa bidii lakini baada ya muda mfupi kusahau mengi waliyosoma. Habari njema ni kwamba kuna mbinu za kitaaluma na za...
  10. FestoKaguo

    Usicopy paste title yako kwneye google scholar au research gate bila kutumia hizi alama wakati wa kufanya research

    Unapokuwa unaandika research proposal au dissertation ya masters au undergraduate, process ya kutafuta related studies zinazoendana na objectives au title yako huwa ni kazi ambayo sio rahisi hata kidogo maana hapo ndiyo moyo wa kazi yako ya research ulipo. Unaweza ukawa unatafuta vizuri tu...
  11. FestoKaguo

    Effective strategies for reading journal articles and other academic resources when writing

    1. Have a Clear Research Question Know your thesis topic and specific research questions. This helps filter relevant articles and avoid information overload. 2. Skim Before You Dive Deep Start by reading: Title Abstract Introduction Conclusion These sections give a quick idea of the relevance...
Back
Top Bottom