Recent content by Festo Ndibanje

  1. F

    Kwanini Jeshi la Polisi limekubali kutia saini mkataba na China wa kupambana na matukio ya kihalifu kwa vyombo vya usafiri ikiwemo Bajaji na Pikipiki?

    Asante mods kwa kuyapanga vizuri maelezo hayo, lkn dukuduku langu hapo ni kuhusu tofauti kati kifaa hicho kutoka China na mfumo wa kizalendo uliwasilishwa serikalini tangu machi 2017 ambao ninaamini una unauwezo mkubwa wa kukinzana na matatizo mtambuka ya bodaboda,lkn mfumo huo umekaliwa kimya...
  2. F

    Kwanini Jeshi la Polisi limekubali kutia saini mkataba na China wa kupambana na matukio ya kihalifu kwa vyombo vya usafiri ikiwemo Bajaji na Pikipiki?

    Dar es Salaam Kampuni ya Tamoba ya nchini Tanzania imetiliana saini ya makubaliano ya kibiashara na kampuni ya Hytera ya nchini China kwa lengo la kupambana na matukio ya kihalifu kwa vyombo vya usafiri ikiwemo Bajaji na Pkipiki. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati...
Back
Top Bottom