Recent content by Fernando 9 Torres

  1. F

    Wimbo wa uliosikika kwenye Movie ya Kanumba dar 2 lagos

    Jamani Habarini za saiz..... Naulizia wimbo wa Narud Nyumbani uliosikika kwenye Movie ya Kanumba dar 2 lagos ameimba nani au alienao naomba anitumie
  2. F

    Hadithi ya umslopagaas

    Asante Mkuu
  3. F

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Samahani...... Kuna wimbo nautafuta umesikika kwenye movie ya DAR TO LAGOS ya marehemu Stephen Kanumba wakikiwa kwenye ndege wanarudi Tanzania inaimbwa "Narud nyumbani, kwetu nyumbani hii, Nmemkumbuka Baba yangu mpendwa" Naomba mwenye nayo au anaejua nani kaimba anisaidie
  4. F

    Hadithi ya mashimo ya mfalme Sulemani

    Asante Mkuu..... Story nzuri mno
  5. F

    Diploma kuomba mkopo, AVN- NACTE

    Hta kma ni this year ila kama chuo wamepeleka matokeo nacte atapata hyo avn
  6. F

    Diploma kuomba mkopo, AVN- NACTE

    Sio lazima uwe na cheti..... Ukiwa na Transcript tu kila kitu kitaenda sawa
  7. F

    AVN number

    Nichek nkuelekeze
  8. F

    Nani amefanikiwa kupata Award Verification number (AVN)kutoka NACTE kwa 2019?

    Kama umememaliza mwaka huu na matokeo yenu hayajapelekwa Nacte inakuwa ngumu kupata AVN, jaribu kuwasiliana na Chuo chako ujue kma walipeleka matokeo
Back
Top Bottom