Recent content by feriangoo

  1. F

    Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Not everything that counts can be counted & not everything that can be counted counts. By Albert Eisten
  2. F

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    me ilikuwa mtwara kwenda Dar, bahati nzuri nilisafiri na mtu mzoefu sasa chabo nililokuwa napiga we acha kila kitu naigilizia. Ila kahawa ilinimwagia chapachapa sababu ya mchecheto, mmmh.. ushamba acha tu
  3. F

    CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

    diwani wa chama kipi si mwizi?
  4. F

    Huduma za matibabu KCMC zapanda kwa kati ya asilimia 450-1000, wagonjwa walazimisha waruhusiwe

    Si KCMC peke yake ndo imepandisha gharama za matibabu. Karibu hospitali zote za rufaa zikiwemo za serikali zimefanya hivyo kwa sababu zifuatazo; 1. Hospitali za rufaa hazina fungu lolote la nyongeza zaidi ya MSD, fedha za uchangiaji (Cost sharing), matumizi ya kawaida (OC) kwa ajili ya kutoa...
Back
Top Bottom