Recent content by Fenento

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BSS fainali 2021: Unadhani nani ataibuka mshindi?

    1
  2. F

    JamiiForums Tanzania Arusha mjini: Kata zote 25 zinaenda CHADEMA

    Big up Arusha!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kufunga kampeni za CCM Tanga inakwenda upinzani kwa asilimia 90

    Hahahahahahaha, yamewafika hapo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Viva Comrade Lowassa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaosema Magufuli atashinda, juweni hili

    Ndiyo ukweli wenyewe!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi kalenga: CCM ahadi zipi mnaahidi na mtatekeleza baba za mwana?

    Huyu kijana hanakipaji kibisa cha uongozi. Sielewi aliomba au alilazimishwa kugombea, na kama wanakalenga watachagua mtu kama huyu basi itakuwa ni dhambi kubwa sana wameifanya hawa wanyarukolo.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni chadema muheza kwakutuma makamanda kwenda iringa kuongeza nguvu

    Hongereni sana, Kanda nyingine za chadema zinatakiwa kuiga mfano huu. Tunatarajia ushindi wa kishindo Kalenga na Chalenze.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rwandan intelligence assassins mission was to kill the entire family

    MSHINO Hii kali sana, Jamaa amedhamilia kuwamaliza. Napata shida kuamini kama haya majaribio ya mauaji hufanyjika kwenye ardhi ya SA, inaonesha kunamapungufu makubwa sana kwenye ulinzi wa serikali ya Zuma.
  9. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    ACT nacho chama kweli? baada ya muda fulani utakubaliana nasi kuwa umepotea. Wewe unafikiri chama kinakua kama uyoga.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ripoti za Kalenga zagongana

    Upo sahihi kwani wote tumeona Mwigulu badala ya kunadi sera za chama amewaleta watu kutuka Kahama na Igunda kujakutafuta huruma ya wanaKalenga. Naomba sana watu wakalenga wasidanganyike. Nani asiyejua hujuma za CCM kwenye uchaguzi? Tafakali chukua hatua
  11. F

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

    Kama siasa za CCM zimefikia kiwango hiki basi watanzania tumekwisha, huyu jamaa Mwigulu hatari sana kwa usalama wa taifa hili amesahamu bomu la Arusha. Da hatari sana
  12. F

    JamiiForums Tanzania Upotoshwaji unaofanywa na chadema juu ya chama cha act tanzania

    Hii hapa ni Bendera ya Uturuki, wote tunajua nchi ya uturuki inaondeshwa kiislamu hata mamufti wanalipwa na serikali yao. Ukiona kuna Nyota kwa haraka sana unaweza kujua chama kina mlengo gani. Kamwe hicho chama hakita fika mbali, sifahamu walikuwa na nia gani ya kuweka star kwenye bendera yao.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Upotoshwaji unaofanywa na chadema juu ya chama cha act tanzania

    Tumekuelewa, naomba weka hapa bendera ya ACT. Baada ya hapo tutakueleza kwa nini hicho chama chenu kina sula ya kidini. Zinduka Mkuu, hakuna chama hapoooo
  14. F

    JamiiForums Tanzania Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Hili neno la hekima la leo umenunua? umekopa? umekodi kwa muda? umeshauriwa? All in all kwenye hili umeonesha kuwa na hekim. Big up Mzee wa buku 7!
Back
Top Bottom