Search results

  1. F

    Arusha mjini: Kata zote 25 zinaenda CHADEMA

    Big up Arusha!
  2. F

    Kufunga kampeni za CCM Tanga inakwenda upinzani kwa asilimia 90

    Hahahahahahaha, yamewafika hapo
  3. F

    Nyie mnaosema Magufuli atashinda, juweni hili

    Ndiyo ukweli wenyewe!
  4. F

    Uchaguzi kalenga: CCM ahadi zipi mnaahidi na mtatekeleza baba za mwana?

    Huyu kijana hanakipaji kibisa cha uongozi. Sielewi aliomba au alilazimishwa kugombea, na kama wanakalenga watachagua mtu kama huyu basi itakuwa ni dhambi kubwa sana wameifanya hawa wanyarukolo.
  5. F

    Hongereni chadema muheza kwakutuma makamanda kwenda iringa kuongeza nguvu

    Hongereni sana, Kanda nyingine za chadema zinatakiwa kuiga mfano huu. Tunatarajia ushindi wa kishindo Kalenga na Chalenze.
  6. F

    Rwandan intelligence assassins mission was to kill the entire family

    MSHINO Hii kali sana, Jamaa amedhamilia kuwamaliza. Napata shida kuamini kama haya majaribio ya mauaji hufanyjika kwenye ardhi ya SA, inaonesha kunamapungufu makubwa sana kwenye ulinzi wa serikali ya Zuma.
  7. F

    CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    ACT nacho chama kweli? baada ya muda fulani utakubaliana nasi kuwa umepotea. Wewe unafikiri chama kinakua kama uyoga.
  8. F

    Ripoti za Kalenga zagongana

    Upo sahihi kwani wote tumeona Mwigulu badala ya kunadi sera za chama amewaleta watu kutuka Kahama na Igunda kujakutafuta huruma ya wanaKalenga. Naomba sana watu wakalenga wasidanganyike. Nani asiyejua hujuma za CCM kwenye uchaguzi? Tafakali chukua hatua
  9. F

    Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

    Kama siasa za CCM zimefikia kiwango hiki basi watanzania tumekwisha, huyu jamaa Mwigulu hatari sana kwa usalama wa taifa hili amesahamu bomu la Arusha. Da hatari sana
  10. F

    Upotoshwaji unaofanywa na chadema juu ya chama cha act tanzania

    Hii hapa ni Bendera ya Uturuki, wote tunajua nchi ya uturuki inaondeshwa kiislamu hata mamufti wanalipwa na serikali yao. Ukiona kuna Nyota kwa haraka sana unaweza kujua chama kina mlengo gani. Kamwe hicho chama hakita fika mbali, sifahamu walikuwa na nia gani ya kuweka star kwenye bendera yao.
  11. F

    Upotoshwaji unaofanywa na chadema juu ya chama cha act tanzania

    Tumekuelewa, naomba weka hapa bendera ya ACT. Baada ya hapo tutakueleza kwa nini hicho chama chenu kina sula ya kidini. Zinduka Mkuu, hakuna chama hapoooo
  12. F

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Hili neno la hekima la leo umenunua? umekopa? umekodi kwa muda? umeshauriwa? All in all kwenye hili umeonesha kuwa na hekim. Big up Mzee wa buku 7!
  13. F

    Tunaomba mwenye historia ya maisha ya mbunge, Richard Ndassa aiweke hapa

    Kama kweli hana diploma na vyeti alivyoeleza kwenye CV yake, wahusika wanatakiwa kumchukulia hatua. Huyu ni miongoni mwa mafisadi wa Elimu Tanzania. Jimboni kwake ni vumbi kwenda mbele na umaskini usiseme na miongoni mwa maeneo ambayo wananchi hawafahamu hata kuongea Kiswahili zaidi ya Kisukuma...
  14. F

    Katiba Mpya na Ushoga

    Je umemwelewa mleta thread hii? Kupinga vitendo vya ushoga ni jambo linalo mpendeza Mungu, wewe unakuja na hoja ya mijadala ya kishetani anyway unaouhuru wakuandika chochote.
  15. F

    Pres. Mugabe: It is time Africa be grateful to Julius Nyerere

    Who cares? president? Ministers? Tanzanian? shame on us, who do not stand for Mwalimu despite all he has done to this great Nation. R.I.P Nyerere
  16. F

    CCM Yakwama kuzindua Kampeni Kalenga leo

    Kwa ujumla kama kunakosa ambalo wanakalenga watafanya ni kumchagua huyu kijana kwa jina la CCM, Kijana mwenye anaishi nje ya nchi na hata matatizo ya wanaKalenga hayafahamu vizuri. Hawa CCM wanamatatizo sana najua wanajiandaa kuiba kula kwa vile hiyo ndiyo njia pekee kwao.
  17. F

    Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

    Kwanza nakupongeza kwa umakini wako Mkuu, umefanya auditing nzuri sana. Kwa ujumla hali hii haiwezi kukubalika kwani hakuna haki ambayo imetendeka hapa kwanini aliyepata POINT 45 awe na 0 na yule wa VI awe na IV. Huu ni ukikwaji wa Katiba na kama tungepata waandishi wa habari wazuri wangeanza...
Back
Top Bottom