Recent content by felz

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    [ Uzuri wa sakata hili ni kuwa wengi wa wanafunzi katika shule hizi ni watoto wa vigogo na wafanyabiashara wakubwa. Je,watakuwa teyari kuona watoto wao hawaendi shule? Watamlaumu Magufuli au JK ambae serikali yake ndio ilipanga adai hii? Swali lingine:Serikali wakati inapanga hii ada elekezi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

    Yap weka mipango muoane kwanza akigoma kuolewa poteza hana malengo nawe yawezekana alikubali pasipo kuwa huru au kwa shinikizo
Back
Top Bottom